Friday, September 9, 2016

ALLAH NI KIUMBE DHAIFU, ASHINDWA KUMPONYA NABII WA UONGO MUHAMMAD
KUMBE JINA LA ALLAH HALINA MAMLAKA
Kwanini Allah alipo mtuma Jibril kwenda kumuombea Muhammad ugonjwa uliosababishwa kula sumu, maombi yao hayakufanya kazi?
Ibn Sa'd Ukurasa wa 265
Aisha, Mke wa Mtume Muhammad alikuwa akisema, "Wakati Nabii wa Allah alipo kuwa anaumwa, Jibril alikuwa anamwombea kwa Allah kwa kusema haya "Katika Jina la Allah ambalo litakuponya kutoka kila magonjwa na maumivu na kutoka kila wenye ubaya nawe na kila wanakuombea ubaya, utapona.
MAJIBU YA MUHAMMAD HAYA HAPA
Bukhari's Hadith 5.713:
Imesemwa na 'Aisha:
Mtume Muhammad wakati alipo kuwa anaumwa na kuchukuliwa na kifo alikuwa akisema, O Aisha, bado nasikia maumivu makali sana kutokana na chakula nilicho kula kilicho kuwa na Sumu kule Khaibar, na wakati huu nasikia kama nyongo yangu inakatwa kutokana na ile Sumu niliyo kula.
Hivi Mungu anaweza kuomba na ashindwe? Mbona Allah na Jibril maombi yao ya uponyaji kwa Muhammad hayakufanya kazi?
Hakika Allah si Mungu.
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA. ALLAH NA YEYE AMEFIWA NA MTUME WAKE.

2 comments:

Abdul Hakim Saleh said...

Hapana mola Apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na mtume Muhammad ni mja na mjumbe wa Allah.
Kwa jina la mwenyezi Mungu Mwingi wa TlRehma Mwenye kurehemu.
Ewe uliyekufuru, ama hakika unazungumza mambo ambayo hauna elmu nayo na hivyo hauyafahamu, unamuita Aliyekuumba kiumbe na unamuita kiumbe(Yesu) kwamba ndiye aliyekuumba, hivi haufahamu kwamba Allah maana yake ni Mungu? Hivi umeshasoma kitabu kilichoshushwa kwa Muhammad (Quran) na kuthibitisha kama lile sio neno la Mungu? Mule katika Quran Mungu Anatoa nafasi kwa wale wenye wasi wasi na neno lile (Quran) watengeneze au watunge sura moja mfano wa yeyote iliyopo katika Quran je kuna hata mmoja aliyeweza? Quran imeshushwa kwa Muhammad miaka zaidi ya 1400 iliyopita na haijabadilika hata herufi moja tangu kushushwa kwake kama Mungu Alivyoahidi kukitunza, je huoni kwamba huu ni muujiza? Laiti kama ingelikuwa si neno la Mungu basi Mungu Asingelitunza hivi hamfikirii? Angalia hivi sasa kuna waislamu mamilioni waliokihifadhi kitabu cha Allah Quran katika vifua vyao herufi mpaka herufi aya mpaka aya sura mpaka sura kurasa mpaka kurasa kwa lugha ambayo hata hawaifahamu, wengine ni watoto wa miaka saba ni waswahili lakini wamehifadhi kitabu hiki chenye kurasa takribani au zaidi ya 600 na wanakisoma bila kuangalia hivi hamuoni tu mkaamini? Mtume Muhammad S.A.W amesema "Kila mtume alipewa miujiza ili watu wake waamini kwamba wametumwa na Mungu, na mimi muujiza pekee nliyopewa ni Quran......) mpaka mwisho.hivyo soma quran thibitisha kwamba hilo neno sio la Mungu tunga sura moja mfano wake kama wewe ni mkweli.
Halafu upande wa hio hadithi umeweka uongo mtupu hadithi yenyewe ni;
Hapo binti wa nduguye Marhab, yaani bwana Harith, alimwalika Mtume s.a.w. kwenye karamu ya chakula. Jina la binti huyu ni Zainab, Mtume s.a.w. akakubali kula chakula nyumbani kwa bibi huyo naye akaenda akifuatana na Bwana Bishr Bin Baraa kwenye karamu hiyo. Mwanamke huyo aliweka mbele ya wageni wake nyama ya mbuzi; wakaanza kula. Mtume s.a.w. alikuwa bado hajameza lile tonge la kwanza, akaacha kula na akasema, “Mbuzi huyu ambaye hii ndiyo nyama yake ananiambia kuna sumu kwenye nyama.” Mtume s.a.w. akamwuliza mwanamke huyo Myahudi habari ilivyo, naye akakubali kuwa kweli alitia sumu ndani ya chakula, lakini, shabaha yangu ilikuwa kwamba kama wewe ni Mtume mwongo utakufa na dunia itasalimika na upotevu wako,” mwanamke Myahudi akasema. “Na kama u mkweli”, akaendelea kusema, “basi Mungu atakujulisha kwamba kuna sumu kwenye chakula nawe utasalimika.” Mtume s.a.w. aliposikia hayo akamsamehe. Mwujiza huu umeandikwa katika kitabu kinachoitwa Zaadul-Ma’adi, Jalada la 12 katika mlango wa Vita ya Khaibar.

Abdul Hakim Saleh said...

https://www.alislam.org/swahili/Miujiza-ya-Mtume.pdf&ved=2ahUKEwiZjaDOlZXoAhXWAGMBHXVNCU8QFjAAegQIARAB&usg=AOvVaw0yBPbeDtt5NEUhy25I1BsS

Hio juu ni link kadownload kitabu cha Miujiza ya Mtume wa Allah Muhammad.

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW