Friday, September 9, 2016

MKURUGENZI MKUU WA SHULE YA QURAN AMEHUKUMIWA KWENDA JELA KWA KOSA LA KUBAKA


Mkurugenzi wa " Minhajul Quran Islamic Center" nchini Uingereza amehukumia kwenda jela miezi 12 na kulipa faini ya Pound Elfu moja za Uingereza katika Mahakama iliyopo Manchester kwa kosa la kujaribu kumbaka mfanya kazi mwenzake.
Haroon Abbas ambaye ni mwanafunzi wa Pakistan Awami Trhrik (PAT) amesema Mwenyekiti Tahirul Qadri atakuwa chini ya uangalizi wa Polisi kwa miaka mitano ijayo baada ya kutoka Jela.
Gulnar ambaye alitaka kubakwa alisema kuwa Mkurugenzi wake alianza kumtomasatomasa na kujaribu kumbaka kwa nguvu wakiwa ofisini.

No comments:

God

  Theology 101 When we attempt to conceive what God is like, we are immediately confronted with the limitation of human imagination, for ou...

TRENDING NOW