Friday, September 9, 2016

KUMBE QURAN ILITEREMSHWA NA ADUI WA JIBRIL?HUU NI MSIBA MKUBWA SANA

Surat Al Baqara 97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini. 

Marehemu Muhammad anaambiwa kuwa, aliipokea Quran kutoka kwa adui wa Jibril. 
WAISLAM, KWANINI MNAFUATA MANENO YA ADUI WA JIBRIL?

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW