Tuesday, September 6, 2016

WANASAYANSI WA NASA WATHIBITISHA KUWA BIBLIA NI KITABU THABITI NA HAKINA SHAKA NDANI YAKE


Wanayansi baada ya kusoma kitabu cha Joshua 10:13 kuhusu kusimama kwa jua kwa siku moja, walipatwa na butwaa kwa jinsi Biblia livyo thabit na sahihi kuliko vitabu vyote duniani.
Bwana Harold Hill, Rais wa Curtis Engine Company huko Baltimore, Maryland, USA, na vile vile ni mshauri wa "SPACE PROGRAM" alisema baada ya kuisoma Biblia aligundua kuwa habari ya Joshua ni thabit na kama isinge tokea basi dunia ingepata matatizo miaka 1000 kutokea sasa.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW