Friday, September 2, 2016

MTOTO WA SULTAN WA MALAYSIA CROWN PRINCE TENGKU AMIR SHAH AMEMPOKEA YESU, ABATIZWA NA KUWA MKRISTO

Kuala Lumpur | Mtoto wa pekee wa Sultan Sharafuddin Idris Shah, Tengku Amir Shah, ameitikisha anga ya waumini wa Kiislam duniani kote baada ya kuachana na Uislam na kuwa Mkristo, gazeti la "People’s magazine" limelinganisha hii habari na ile ya "real life Romeo and Juliet story of our time”.
Mkuu "The crown prince of the state of Selangor in Malaysia" zaidi ya hapo amemuoa Cristina Gomez ambaye ni Mkristo huku akionekana kwenye TV ya Taifa akiwa nawe kwenye halfa mbali mbali.
Zaidi ya hapo, Prince Tengku Amir Shah alibatizwa na kukiri kuwa yeye hajali wazazi wake watasema nini na hajali kupoteza wadhifa wake wa Crown Prince.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW