Friday, July 14, 2017

UCHAWI NDANI YA UISLAM

No automatic alt text available.


Uislam umekuwaa na imani Iliyojidhihirisha katikaa kuamini ushirikinaa,mizimu na majini/mapepo.siku Moja nilipoangalia Tv nilishangaa kuona maalim Hassan akifundishaa uchawi dhahiri,akifundishaa namna ya kuyatumia majini kufanya kazi unayotaka,kiukweli niligadhibishwaa kuonaa uchawi huu ukifundishwà wazi bilaa wasiwasi wowote!
Naomba nimnukuu maalim Hassan katika fundisho lake moja"VITU VINAVYOHITAJIKA WAKATI WA KUWAITA MAJINI:
MAANDALIZI.
Kwa mwenye kutaka kumuita Jini na kumtumia ahakikishe anazingatia mambo ya muhimu katika kutayarisha na kutafuta vifaa muhimu kwa ajili ya shughuli za kumuita jini.
Unatakiwa uwe na vifaa vifuatavyo
1. Fimbo maalum
2. Unyoya wa kwenye Bawa la kulia la Bata Mzinga
3. Kitambaa safi cha hariri
4. Mafusho
5. Njiwa (damu ya njiawa"
Je huu si uchawi uliopo ndani uislamu,je kuna utofauti gani kati uislam na uchawi?
Katika moja ya mambo yenye kutushangaza sana sisi Wakristo hatuchangamani kabisa na majini au Mashetani wala hatuna uhusiano nayo, Kinyume na hilo Waislamu wana uhusiano mkubwa na wakaribu na majini na mashetani na kwa ujumla Masheikh na Maalimu wanaotumia quran kutibu au kulaani watu (al-Badir) hutumia nguvu za majini ambazo ni nguvu za giza, Muhamad pia alitumia nguvu hizo za giza, Kuna wakati ambapo wakristo kutoka Narjan kusini mwa Arabia walimtembelea Muhamad kujadili mambo ya dini kwa siku kadhaa baada ya kuwa wakristo wamekataa kusilimu, Muhamad akasema “njooni hadharani tukusanyike pamoja wana wetu na wana wenu,wanawake zetu na wanawake zenu,sisi na ninyi kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laana kwa Mungu iwashukie waongo! (surat al Imran 3:61).Muhamad alitaka kuwalaani wakristo kwa jina la allah na wakristo walaani kwa jina la Yesu kuona nani wenye nguvu,Wakristo walikataa kwani hawakuitwa kulaani bali kubariki tu.
JE SHETANI ANAHUSIANO GANI NA MAJINI?
Allaah Anasema:
"Basi wakamsujudia isipokuwa Iblisi; yeye alikuwa miongoni mwa majini.
shetani/Allah alikuwa miongoni mwa majini(al-kahf 18;50) hivyo shetani ni jinni na jinni ni shetani,quran inafundisha kuwa viumbe hawa waliumbwa kwa ndimi za moto(al-Hijir 15;26-27,ar –Rahman 55:14-15) woote wanaofanana na shetani woote wamezaliwa na shetani woote kazi zao zinafanana,Hivyo majini yana nafasi kubwa sana katika uislamu kujaribu kuwatenga majini na mashetani ni kiini macho tu kwani majini yalisilimu (surat 72;1-14)ingawa kuna kundi lingine halikuslimu,Hata hivyo Allah aliwatumia woote katika kazi mbalimbali mfano kumsaidia Sulemani katika kazi zake mbalimbali za ujenzi,kumletea johari na vito vya thamani toka baharini,kumjengea nk.Soma (Surat al anbiyaa 21;81-82)Allah alikuwa mlinzi yaani msimamizi,Allah pia huwatumia majini kufarikisha watu aliwatumia huko Babeli na kufundisha watu uchawi hawa mashetani huitwa Haruta na Maruta soma (al-Baqara 2;102) aidha katika namna ya kushangaza Allah alimletea kila nabii maadui aliowatuma mwenyewe yaani majini na Mashetani (surat al anam 6;112 na al-Hajj 22;52).
Baadhi ya Madhehebu kama ahmadiyya walipogundua kuwa majini ni mashetani na mashetani ni majini walianza kukataa dhana hii na shehk Farsiy anawakanusha vikali katika ufafanuzi chini,Waislamu wanatambua kuwa majini ni ndugu zao na ndio maana moja ya mashart ya swala katika kumalizia kikao cha mwisho kiitwacho (atahiyat) lazima kwa kila Muislamu asalimie pande zoote mbili yaani kwa kugeukia kushoto na kulia,kushoto ni kusalimia muislamu mwenzako na kulia ni kusalimia kundi kubwa la majini ambao hujumuika na waislamu katika swala (arshad-alMuslim) hii ni lazima hata kama mwislamu atakuwa pekeyake wakati wa swala kwani majini hujumuika nae.Aidha muhamad anasema kila muislamu anapozaliwa anapata ulinzi toka kwa majini na mashetani (soma al-muslim,Miskat),
Majini yana ufahamu mkubwa sana wa quran na uislamu, yameslimu Muhamad alipokwenda kwa majini na kuanza kuwauliza mambo ya uislamu majini yalijibu vizuri kuliko wanadamu soma (surat al ahqaf 46;29-30) soma pia ufafanuzi wa aya hiyo chini katika quran ya Farsiy.
KWANINI MAJINA YA KISLAMU HUFANANA NA MAJINA YA MAJINI?
Nilitafakari jambo kwa makini kwanini majina ya kislamu hufanana na majina ya majini,kama maimuna shwaibu, Hassan, Fatuma, Muhammed, Athuman, Sharif, Farid, nk.
Kwa ujumla hutakutana na jinni ambalo lina jina la kikristo majini yoote yana majina ya kiislamu anaeleza Desmon Mkumbo mmoja ya wataalamu wa huduma ya biblia ni jibu Tanzania.Majini au mapepo pia huhubiri Uislamu kwa nguvu na huhusika kusilimisha watu ukiwa na ugonjwa au pepo limekupagaa ukipelekwa kwa sheikh au maalim akusomee duwa utapewa masharti ya kubadili dini,jina, kusilimu au kuswali haya ni maagizo ya majini Mwenye masikio na asikie!.
Mtume Muhammad alikuwaa anatumia Uchawi?
Muhamad alikwenda Yerusalem akafika pale lilipokuwa Hekalu la wayahudi wenyewe waislamu hupaita Baittil maqdis kwa usiku mmoja kwa kutumia mnyama aitwae “Buraq” Mnyama huyu ni jinni lenye sura ya mwanamke mzuri na mwili wa Farasi (Soma kitabu Maisha ya nabii muhamad uk 28 kifungu cha mwisho) jambo hili lilimfanya akataliwe zaidi na watu wa makka wakisema ni MCHAWI MKUBWA na hawako tayari kumuamini mchawi,Hizi ni khadithi chache tu ambazo zinatudhihirishia kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya Uislamu na Majini, Mashetani na mambo ya uchawi au ushirikina katika uislamu tutachambua mtazamo wa quran kuhusu viumbe hao ikiwa ni pamoja na mashetani,malaika na majini. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) ametufundisha dua ya kusoma kabla ya mtu kuigia chooni, akasema:
Ukweli ni kwamba uislamu unajua vinzuri majini vinzuri na namna ya kuwatumia katika shghuli mbalimbali za kiuchawi...
Mtume anasema "
Mmoja wenu anapoingia chooni basi aseme;
"Allaahumma inniy audhu bika minal khubuthi wal khabaaith."
Muhammad anafundisha namna ya kujikinga na wachawi unapoingia Chooni.....lakini jambo linaloshangaza
muislamu ameoneka kumtii shetani anapoingia chooni kwa kuomba msamaha kwa mapepo ya kike na kiume maana baadhi ya mapepo huishi chooni!!!
Je uislamu siyo dini ya shetani????Tafakari.
Katika Biblia tunaona kipindi Yesu alipotwaa mwili na kuja duniani, hao majini, au mashetani au Ibilisi au Mapepo wachafu yalimfahamu na yalianza kulalamika mbele zake.
Math 8:28-31 “ Naye alipofika ng’ambo katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo (Majini) walikutana naye, wanatoka makaburuni wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile. Na tazama wakapiga kelele wakisema tuna nini nawe mwana wa Mungu? Je, umekuja kututesa kabla ya muhula wetu………………. (MK 5:1-9).
Majini hayo yanafahamu kuwa Yesu ndiye atakayewahukumu ila yalichoshangaa ni kwamba mbona amewahi kabla ya kipindi chenyewe cha yeye Yesu kuyahukumu kwenda Jehanamu ya Moto?
Yesu alikuja duniani ili kumwokoa mwanadamu kutokana na mateso ya hayo majini au mashetani kwa sabahu katika Uf. 12:12 Malaika Mikael alipokuwa anawafukuza hao malaika waasi yaani hao majini au mashetani alisema OLE WA NCHI NA BAHARI ndiyo maana Yesu ilibidi aje duniani kupambana na huyo shetani, Joka, Ibilisi kwa niaba yetu maana sisi tusingeweza na wale, majini walisema kumuambia Yesu ukitutoa tuache tukawaingie nguruwe na ngurume wale wapatao 2000 waliona bora kufa baharini kuliko kuishi na viumbe hivi majini au mashetani miilini mwao na hivyo kutimiza ujumbe wa malaika Mikaeli “ Ole wa nchi na bahari”. Baharini ni sehemu mojawapo ambapo majini huishi.
Je Nguruwe ni Bora kuliko mwislamu?
Itaendelea sehemu ya pili.
Tafakari
Hoji mamboo
Chukua Hatua.
Yesu anakupenda
Na Shèikh Mstaafu Èden Hazard

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW