Wednesday, July 19, 2017

WANAFIKIRIA HUYU NI ALLAH

Image may contain: 8 people, crowd, text and outdoorMarko 12: 29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja;
Unapo wabana Waislam, hurukia hii aya ya Biblia na kusema Yesu anakiri kuwa Mungu ni mmoja, ukizidi kuwabana wanarudi kule kule na kusema Biblia imechakachuliwa na ina mkono wamtu.
Lakini kwa wajuzi wa Biblia, huwa tunawarudisha kwenye Biblia hiyo hiyo na kusoma mistari inayofuata kutoka Marko hiyo hiyo ya 12 kama ifuatavyo.
Marko 12: 36 Daudi mwenyewe alisema, kwa uweza wa Roho Mtakatifu, BWANA ALIMWAMBIA BWANA WANGU, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako. 
37 Daudi mwenyewe asema ni Bwana; basi amekuwaje mwanawe? Na mkutano mkubwa walikuwa wakimsikiliza kwa furaha.
Kama Waislam mnadai kuwa Yesu alikuwa anaongea kuhusu Allah ambaye ni mmoja kutokana na madai ya Quran:
MASWALI:
1. Ni nani huyo "BWANA" anaye kaa mkono wakuume wa Allah?
2. Daudi alisema: BWANA ALIMWAMBIA BWANA WANGU. Je, Allah alimwambia Bwana mwingine akae kwa mkono wake wa Kuume?
3. Huyu BWANA aliye ambiwa akae upande wa kuume wa ALLAH ni nani?
4. Kwanini na yeye anaitwa BWANA?
5. Waislam wapi aya ya Quran Allah na yeye anaitwa BWANA?
Waislam, kama kawaida yao watasema, BIBLIA IMECHAKACHULIWA, au sio?
Nashangaa kwanini Wakristo hatulioni hili kuwa ALLAH-BWANA ANA BWANA MWINGINE UPANDE WAKE WA KUUME kama alivyo sema Nabii wa ALLAH aitwaye Doudi.
Waislam, mpaka lini mtaendelea kuishi kwenye uongo wa Muhammad?
NAMALIZA KWA KUSEMA:
Marko 12: 38 Akawaambia katika mafundisho yake, Jihadharini na waandishi, wapendao kutembea wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa masokoni,
Yesu anatuonya na tuambia jujihadhari na watu wanaovaa mavazi marefu (KANZU) na wanasalimiwa asallam aleuikum huko kwenye MASOKO. Hao ni akina nani wanao vaa mavazi marefu (kanzu) na kupenda kusalimiwa masokoni?
Shalom,
Imetafsiriwa kutoka kwa Jimmy John
Na kuratibiwa na Max Shimba
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW