Wednesday, July 19, 2017

WAISLAM: KUTOKANA NA QURAN YENU, UBATIZO WA YOHANA ULITOKA KWA NANI?

Image may contain: one or more people and text


Ninaposema kila siku kuwa Uislam ni dini ya kutengeneza na ilitengenzwa na Muhammad huwa sitanii.
Yohana Mbatiza wa kwenye Biblia sio yule Yahaya bandia wa kwenye Quran wa Surat Maryam aya ya 7. http://www.quranitukufu.net/019.html La hasha.
Yohana kwa Kiingereza ni John
Yohana kwa Kiarabu ni يوحنا ywhna
Yohana kwa Kijapani ni ジョン Jon
Yohana kwa Kichina ni 約翰 Yuēhàn
Sasa hili jina la Yahaya walilitowa wapi hawa Waislam na je, huyu Yahaya alibatiza watu kama Yohana wa kwenye Biblia aliye kuwepo miaka 600 kabla ya Uislam?
Kwenye Biblia ya Kiarabu kuna jina la يوحنا ywhna na sio Yahaya jina bandia la Waislam. https://www.arabicbible.com/arabic-bible.html
Ili kupima ukweli huu, basi leo nawauliza Waislam swali rahisi:
Mathayo : Mlango 21 aya ya 25 Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa wao, wakisema, Tukisema, Ulitoka mbinguni, atatuambia, Mbona basi hamkumwamini?
SWALI: Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi?
Ningependa Waislam wanijibu kwa aya na sio maneno yao matupu.
Kama Ubatizo wa "Yahaya" ulitoka kwa Mungu Mkuu, kwanini nyie Waislam hambatizwi?
Kama ulitoka kwa Mwandamu, kwanini hakuna aya ndani ya Quran inayo pinga Ubatizo wa "Yohana"?
Kama ulitoka kwa Mwanadamu, kwanini Yesu alibatizwa?
Kama hakuna aya yeyote ndani ya Quran inayo zungumzia Ubatizo, basi "Yahaya" sio Yohana "يوحنا ywhna" wa kwenye Biblia, na Yahaya wa Quran ni bandia na alitengenzwa na Muhammad.
Biblia inasema, ‘ ama hamjui kuwa sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika kifo chake? Hivyo tulizikwa pamoja naye kupitia ubatizo katika wafu na kama Kristo alivyofufuka kwa utukufu wa Mungu nasi tuishi maisha mapya” (Warumi 6:3-4).
Katika ubatizo wa kikristo tendo la kuzamishwa ndani ya maji linaashiria kuzikwa na Kristo. Tendo la kuzuka kutoka ndani ya maji lina maana ya kufufuka kwa Kristo.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW