Wednesday, November 16, 2016

IMAM MUNAF ALI AFUFUKA NA KUMPOKEA YESU KRISTO


ASEMA MAJINI ALIYO KUWA ANAYAFUGA AKIWA MUISLAM NDIO YALIO MUUA
AKIRI KUWA YESU NI MUNGU
Ima Munfa Ali sio tu alikuwa anauchukia Ukristo, alikuwa vile vile mwenye siasa kali na kuwaambia waumini wake kuwapiga na kuwauwa Wakristo.
Siku moja Imam Munaf alikuwa na mjadala mkali wa dini na Wakristo, aliwatukana na kusema kuwa Yesu sio Mungu zaidi ya kuwa ni mtu wa kawaida tu. Aliendelea kusema kuwa eti Biblia ni kitabu dhaif na kisicho kuwa na nguvu yeyote ile.
Baada ya huyo mjadala, Mchungaji Paulo alimpe nakala ya Agano Jipya, lakini Imam Munaf alichukizwa sana na hilo tukio na kutukana na kumlaani Mchungaji Paulo ambaye ni mkuu wa kitengo cha MBiles 4 Mideast.
Basi, usiku ule ule, Imam Munaf aliwatuma vijana wake wenye Mapanga huku walisema Allahu wakbar kwenda kuwauwa Wakristo.
Bila ya wao kujua, Roho Mtakatifu alisha waonya Wakristo, na waliondaka masaa mawili kabla ya Waisalm wenye harira kali kufika sehemu ambaye Wakristo hao walikuwa wamepanga kulala.
Siku chache baadae, yule Imam Munaf alipatwa na kizunguzungu, akaanguka chini , akapoteza fahamu na kufa papo hapo.
Alipo kufa, Ima Munaf akasema, aliona MASHETANI yanakuja kumpokea, na ndipo alipo gundua kuwa Uislam ni dini ya Shetani na Allah ni Shetani......
SASA ENDELEA .....
Kwa habari kamili ingia kwenye link provided

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW