Nimetembelea nchi nyingi duniani. Waislamu hawana furaha! Huko Gaza, hawana furaha. Ukienda Misri, hawana furaha. Ukienda Libya, hawana furaha. Ukienda Morocco, hawana furaha. Ukenda Iran na Iraq, hawana furaha. Ukienda Yemen, Afghanistan na
Pakistan, hawana furaha. Ukienda Syria na Lebanon huko nako waislamu hawana furaha. Ukienda Somalia, ndio kabisa, waislamu hawana amani wala furaha!
Waislamu wana furaha huko Australia. Wana furaha huko Uingereza. Wana furaha huko Ufaransa na Italia. Wana furaha huko Ujerumani. Wana furaha huko Sweden, USA, Canada na Norway. Kwa ujumla Waislamu wenye furaha utawakuta katika nchi ambazo si za kiislam..
Lakini je, lawama zinatoka wapi? Wanamlaumu nani? Hawaulaumu Uislamu hata kidogo! ... wala hawaulaumu uongozi wao ... wala hawajilaumu wao wenyewe. Bali wanazilaumu zile nchi ambamo ndimo wanamoishi kwa amani na furaha. Wanataka kuzibadili hizo nchi ambamo wanaishi kwa amani na furaha kuwa kama zile nchi ambamo hawana furaha. Hebu wenye mang’amuzi mapana jaribuni kupata mantiki katika hili kwa mfano:
- Iwapo mtu anajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ili kujipatia fedha haramu, lakini wakati huo huo kwa misingi ya dini, analaani unywaji wa pombe hadi anachoma vilabu vya pombe ... huyo ndiye Muislam safi..
- Iwapo mtu anajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ili kujipatia fedha haramu, lakini wakati huo huo kwa misingi ya dini, analaani unywaji wa pombe hadi anachoma vilabu vya pombe ... huyo ndiye Muislam safi..
- Iwapo mtu anamiliki bunduki yenye thamani ya $3000, mabomu ya gharama kubwa na rocket launcher yenye thamani ya $5000, wakati huo huo hana hata uwezo wa kununua viatu vya kuvaa...huyo ndiye Muislam.
- Iwapo leo hii kibaka yeyote ataapa na kutangaza kwa jina la Allah vita ya jihad, kisha akaanza kuiba mali za watu, kuua watu wasio na hatia, kuteka wanawake, kuwachukua utumwani na kuwabaka, huyo atakuwa ni Muislam!
- Iwapo mwendawazimu yeyote atasimama leo hii na kuwahamasisha watu kwa misingi ya kidini kuwa Televisheni na simu za mkononi ni hatari, wakati huo huo amebeba mabomu katika mavazi yake ... huyo ndiye muislam...
Lakini ukweli ni kwamba, Waislamu hawana furaha kwa kuwa walio wengi wamenaswa na giza la roho hizi za udanganyifu, chuki, fitna, visasi na mauaji, huku wakidhani kwamba hiyo ndiyo dini... lakini kumbe ni utumwa tu ambao unamkosesha mwanadamu furaha. Poleni sana wahanga wa imani za namna hii!
Wengi walionaswa na utando wa giza la namna hii, hawataki kuona mwanga wa ukweli kuhusu jambo hili. Utawasikia wakisema kwamba hoja za kweli kama hizi ni udini, kufuru, upumbavu, uchochezi wa kidini n.k... Hao ndio waislam halisi!
No comments:
Post a Comment