Friday, November 4, 2016

QURAN ILITEREMSHWA NA ADUI WA JIBRIL NA SIO ALLAH


Quran 2:97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini. http://www.quranitukufu.net/002.html
Aya hapo juu ipo wazi kabisa kuwa aliye iteremsha Quran kwa Muhammad ni adui wa Jibril.
Sasa Waislam anzeni kujipanga maana mnasoma kitabu cha adui wa Jibril.
Ndio maana huwa nasema kuwa "UISLAM NI DINI YA KUJITUNGIA TU".
Copyright © Max Shimba Ministries 2013

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW