Friday, July 14, 2017

WAISLAM WA SIASA KALI WA AL SHABAB WAMEWACHINJA NA KUWAUWA WAKENYA TISA

Image may contain: one or more people

Kikundi cha Kiislam chenye mwenendo wa kigaidi na chenye ushirikiano na Al Qaeda, leo Jumamosi ya tarehe 8 Mwezi wa Saba 2017 kimewauwa wananchi tisa wa Kenya kwa kuwachinja vichwa vyao.
Mauwaji hayo yaliyotokea katika kitongoji cha Pandaguo, sehemu ambayo mapigano ya Al Shahab yaliendelea kwa siku tatu mfululizo.
Bwana James Ole Seria ambaye ni kiongozi wa Polisi amesema kuwa, wapiganaji 15 wa Shabab walivamia Kijiji cha Jima, Lamu County, na kuwateka Wanaume hao na kuwachinja kwa kutumia visu vikali.
Kwa habari kamili ingia hapa:

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW