Saturday, April 1, 2017

MUHAMMAD KASEMA UISLAM NI BIASHARA NA SIO DINI

No automatic alt text available.

SALAALEEEEHHHHH

“Enyi mlioamini!Je! Niwajulishe BIASHARA ITAKAYOKUOKOENI na adhabu iumizayo? Biashara yenyewe ni hii, Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na piganieni dini ya Mwenyezi Mungu kwa mali zenu na nafsi zenu. Haya ni bora kwenu.Mkifanya hivi, atakusameheni dhambi zenu na atakuingizeni katika Mabustani
Yapitayo mito mbele yake na atakupeni maskani mazurimazuri katika Bustani za milele.Huku ndiko kufuzu kukubwa.Na atakupeni kingine mnachokipenda;Nayo ni nusura itokayo kwa Mwenyezi Mungu na ushindi ulio karibu!Na wapashe habari njema Waislam”
(Quran 61:10-13).

Waislam mara zote wamekuwa wanasema kuwa Ukristo ni Biashara na madai haya yapo kwenye tovuti zao. Ingawa tunapo waomba aya walete ili kutetea madai yao, mpka hii leo wameshindwa.

Uzuri wa Allah, yeye huwa hafikichi kitu na anasema ukweli kuwa UISLAM NI BIASHARA NA DINI YA KUTENGENEZA.

Ndio maana, Uislam haufundishiki bila ya kuutukana Ukristo, Imani ya kweli na thabiti mbele ya Mwenyezi Mungu.

SWALI KWA WAISLAM:
Tumabieni hiyo biashara ambayo Allah amekupeni kwa kutumia aya zake.

Kumbe Uislam ni dini ya biashara.

Hadithi ya Abu Huraira (r.a) amesema, Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, “Hakuna yeyote miongoni mwenu atayeokolewa na amali yake” Wakasema hata wewe mtume wa Allah? Mtume (S.A.W) akasema, “Wala mimi isipokuwa anifunike Allah kwa rehema zake; hivyo fanyeni amali njema kwa uadilifu” (Bukhari Hadithi Na. 470, Juzuu ya

Sasa kama mtume mwenyewe hajui hatima yake siku ya mwisho kuna haja gani Wakristo tunaojitambua kuufuata UISLAMU? Yaani tumwache Yesu mwenye uhakika na watu wake na kile atakachowapa wanaomfuata NA TUFUATE DINI YA BIASHARA ILIYO TUNGWA NA MUHAMMAD.

Karibuni kwa Yesu Mungu Mkuu.

Shalom.

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW